Tag: utenzi

TAUBA

  Bisimilahi raufu Mola ulo mtukufu Waja wako madhaifu kwako tunakimbilia Muumba mbingu na ardhi Twakuomba yako radhi Tumeacha ya faradhi Haramuni twajitia Ya rabbi twarudi kwako Hatujui tuendako Na… Read more »

YATIMA

Naanza yangu nudhuma Kwa adabu na heshima Kumueleza yatima Hana wa kumtizama Sio kosa la yatima Majanga kumuandama Ni mipango ya karima Waja wake kutupima Hufurahika yatima Akionewa huruma Hupata… Read more »