PEPO! MASKANI YA DAIMA
Kalamu niishishie, natunga toka moyoni Dua zetu tukidhie, twakuomba ya manani Motoni usitutie, adhabu hatuwezani Ewe mola tujalie, pepo iwe masikani Tujaalie ni wema, tutende mambo ya kheri Tutende bila… Read more »

Maisha kitendawili, vigumu kuyategua Yana na mengi maswali, kichwani yanasumbua Tenda lile tenda hili, insi hutomtua Ungawa mtu aali, ila bado ‘takuua Umtendee mazuri, umlishe na kababu Umvalishe hariri, na… Read more »
Sikatai ni ruhusa, kuoa mke wa pili Basi sifanye mikasa, ukatenda udhalili Mkeo kumnyanyasa, uadilifu muhali ‘kioa mke wa pili, tenda na uadilifu ‘Sijitie hamnazo, kuoa mke wa pili Senti… Read more »
Nina swali ikhiwani,ninaomba munijibu Limekaa akilini,nijibuni maswahibu Naomba yenu maoni,tena kwa utaratibu Je ni haki kuongeza,mke wa pili kwa siri? Mke wako laazizi,barafu ya moyo wako Kakupa mola mwenyezi,… Read more »
Kaka Naanza wangu usemi, Hoja yangu kutetea Naikunja yangu ngumi, Uzito kuongezea Ya kwanza hadi ya kumi, Nyote zitawaelea Waja kuoa mapema, Kubwa sunna ya Amini Dada Basi anza taratibu,… Read more »