ELIMU
Elimu urithi aali, mwanao kumuachia Elimu ni kubwa mali, na tena ya kubakia Elimu bidhaa ghali, katika hii dunia Elimu wape wanao, tena bila ya kusita Elimu akiba yao, katu… Read more »

ELIMU HASI AU CHANYA? Kaka Hatari mno nasema, Mwana kufika chuoni Ati aenda kusoma, Masomo ya uzunguni Mwana hafai kusoma, Atakua majununi Awe nyumbani na mama, Ajifunze tamaduni Dada Akhi… Read more »