MAWAIDHA YA BABU
MWANA Shikamoo wangu babu Kukusalimu wajibu ‘Metuamuru wahabu Heshima kuwapatia BABU Marahaba ya kijana Habari za tangu jana ‘mefurahi kukuona Kwako mi najivunia MWANA Za tangu Jana ni njema Nami… Read more »

Mwana 1 Ndugu yangu vipi hali,natumai u mzima Namshukuru jalali, kwani mi nipo salama Ila nina langu swali,linanikera mtima Kati ya baba na mama,yupi mwenye kubwa hadhi? Mwana 2 Mimi ndugu sina… Read more »