Tag: ngombe

KUPE KAMGANDA N’GOMBE

Nikupe kisa swahibu, kilichomfika n’gombe Yalimkuta masaibu, kikamkata kijembe Alitafuta majibu, asipate hata chembe Kupe kamganda ngombe, hakujali zake pembe Mwenyeji kangia kati, ngombewe kumnusuru Kwa mno kajizatiti, ili aipate… Read more »