
JINSI YA KUPIKA VIAZI VYA NAZI VYA NYAMA
MAHITAJI ▪Viazi kilo moja vilivyochambuliwa maganda na kukatwa slices(hakikisha slices si nyembamba Sana ili visivurugike) ▪Nyama nusu iliochemshwa na chumvi ▪Tui zito kikombe 1 ▪Tui jepesi(matusha) vikombe 4 ▪Tomato 4… Read more »