JINSI YA KUPIKA MATOKE
Matoke, matooke au ibitoke ni chakula Chenye asili ya kiganda. Hata hivyo, wanavyopika waganda na tunavyopika sisi wakenya ni tofauti. Waganda aghlabu huyapika Kwa mvuke tu ilhali wakenya mpaka tuyapambe… Read more »

Kama wanavyosema, mama ndiye mwalimu wa kwanza. Kwangu mimi, mama yangu amekuwa mwalimu muhimu katika maisha yangu. Amenifunza mengi yenye manufaa na miongoni mwayo ni mambo ya jikoni. Nimejifunza mapishi… Read more »
Mwezi mtukufu wa Ramadhani umewadia na kina mama wapo mbioni kutafuta mapishi mapya na mazuri ili kuandalia aila zao. Naam, kufurahisha familia bila shaka ni jambo jema kwani hujenga udugu,… Read more »
Miongoni mwa vyakula vinavyonidondosha mate na kunifanya nile mpaka nivimbiwe ni viazi vya nazi. Ninapoulizwa nyumbani ni chakula gani tupike basi viazi vya nazi havikosekani kwenye orodha. Naam! Viazi vya… Read more »
Mmh samaki! Samaki ni kitoweo kinachodondosha wengi mate. Wapo wengi wasiokula nyama au kuku ima Kwa kutopenda kwao au kwa maradhi flani ila tukija kwenye samaki, binafsi sijasikia kama kuna… Read more »