Kuku ni chakula kinachopendwa na wengi kote ulimwenguni. Kenya, watu wanaokienzi kitoweo cha kuku ni wenzetu kutoka sehemu ya magharibi, waluhya😅. Vile vile, kuku anaweza kumtia mtu kwenye matatizo😱. Wapo… Read more »
Je umechoka kula chapati kwa maharagwe na unahitaji kitu cha tofauti? Au pengine umepata wageni na unataka kuwapikia mapishi tofauti na yale yaliozoeleka sana? Naam, mapishi haya ya mchuzi wa… Read more »
Vibanzi au chips kama wengi wanavyozifahamu, ni chakula maarufu, rahisi kupika, kinachopendwa na wengi ulimwenguni na zuri zaidi ni kuwa ni chakula ambacho hakipigani na mfuko wako. Hata ukijiskia kwenda… Read more »
Wapo wanaomini kuwa mlo wowote huwa haujakamilika iwapo hakutakuwa na pilipili pembeni. Hawa ndio maashiki wakuu wa pilipili. Pilipili kwao ni kama injini ya gari, yaani mambo katika mlo hayaendi… Read more »
Chapati ni chakula maarufu sana kote ulimwenguni na ni chakula kikuu cha India, Sri Lanka, Bangladesh na Nepal. Licha ya chakula hiki kupendwa na wengi, ndicho chakula kinachowapa wengi changamoto…. Read more »