
JINSI YA KUPIKA MZINGA WA NYUKI
Mzinga wa nyuki ni mkate wenye asili ya kiarabu. Mkate huu umepewa jina la mzinga wa nyuki kutokana na mfanano wake baada ya kupikwa. Ni mkate unaopikwa mfano wa skonzi… Read more »
Mzinga wa nyuki ni mkate wenye asili ya kiarabu. Mkate huu umepewa jina la mzinga wa nyuki kutokana na mfanano wake baada ya kupikwa. Ni mkate unaopikwa mfano wa skonzi… Read more »
Naam, yapo mapishi mengine yanaweza yakawashtua wale ambao kwamba hawayajazoea au hawajahi yaskia. Bila shaka tambi za mapapayu ni miongoni mwa mapishi hayo. Hata hivyo, tambi za mapapayu ni chakula… Read more »
Mchicha ni mboga tamu sana lau itapikwa kwa njia muafaka. Ni mboga ambayo kwamba inaendana na vyakula aina tofauti tofauti hususan wali au ugali. Inapendeza zaidi ikiwa pembeni kutakuwa na… Read more »
Je umechoka kula chapati kwa maharagwe na unahitaji kitu cha tofauti? Au pengine umepata wageni na unataka kuwapikia mapishi tofauti na yale yaliozoeleka sana? Naam, mapishi haya ya mchuzi wa… Read more »
Kama wanavyosema, mama ndiye mwalimu wa kwanza. Kwangu mimi, mama yangu amekuwa mwalimu muhimu katika maisha yangu. Amenifunza mengi yenye manufaa na miongoni mwayo ni mambo ya jikoni. Nimejifunza mapishi… Read more »