
JINSI YA KUPIKA MZINGA WA NYUKI
Mzinga wa nyuki ni mkate wenye asili ya kiarabu. Mkate huu umepewa jina la mzinga wa nyuki kutokana na mfanano wake baada ya kupikwa. Ni mkate unaopikwa mfano wa skonzi… Read more »
Mzinga wa nyuki ni mkate wenye asili ya kiarabu. Mkate huu umepewa jina la mzinga wa nyuki kutokana na mfanano wake baada ya kupikwa. Ni mkate unaopikwa mfano wa skonzi… Read more »
Naam, yapo mapishi mengine yanaweza yakawashtua wale ambao kwamba hawayajazoea au hawajahi yaskia. Bila shaka tambi za mapapayu ni miongoni mwa mapishi hayo. Hata hivyo, tambi za mapapayu ni chakula… Read more »
Licha ya mahamri kuwa chakula rahisi kupika pia ni chakula kinachohitaji mahitaji ya kawaida sana yanayopatikana Katika duka au soko lolote lile. Aidha ni chakula maarufu na kinachopendwa na wengi… Read more »
Pilau ni chakula maarufu sana katika kanda ya pwani na ulimwenguni kwa jumla. Utakubaliana nami kuwa ni chakula kilichojinyakuli nafasi kuntuba katika nyoyo za wengi. Ni nadra sana uende katika… Read more »
Je umechoka kula chapati kwa maharagwe na unahitaji kitu cha tofauti? Au pengine umepata wageni na unataka kuwapikia mapishi tofauti na yale yaliozoeleka sana? Naam, mapishi haya ya mchuzi wa… Read more »