Nimeketi na kuwaza, majibu nikayakosa Kunyamaza sikuweza, kwa ‘livokithiri visa Hivyo sauti napaza, nijibuni enyi insa Wana ‘kikosa mwangaza, nani wa kulaumiwa? Wana ‘kiwa watukutu, wakafanya yaso ndia Nyoyo zikajaa… Read more »
Sura umeikunja! Meno umeyakaza! Unabamiza milango na kurusha rusha vitu huku na kule! Mori umekupanda tayari kummeza mzima mzima yeyote atakayepita mbele yako. Kisa na sababu? Mama yako amekuita. Pengine… Read more »
Mwana 1 Ndugu yangu vipi hali,natumai u mzima Namshukuru jalali, kwani mi nipo salama Ila nina langu swali,linanikera mtima Kati ya baba na mama,yupi mwenye kubwa hadhi? Mwana 2 Mimi ndugu sina… Read more »
Naanza langu shairi,kwa mapozi na madaha Nataka kuikariri, niliyonayo furaha Nimepewa na qahari,nakwambia si mzaha Furaha yenyewe gani? Ni kipenzi wangu mama. Baada mola karima,na mtume hashimia Wa kufuata… Read more »
NAANZA YANGU KAULI SHUKURANI KWA JALALI KWA KUNIPA USAHALI SHAIRI KUJITUNGIA NITAMALIZA VITABU KWA KUMSIFU MUHIBU NA HATA NIKAJARIBU SIFA SITOMALIZIA KWA MAPENZI MOTO MOTO ULINILEA MTOTO MAJANGA NAYO MAZITO… Read more »