KUMBUKUMBU ZA UTOTONI
Maisha ya utotoni ni maisha matamu sana kwa wengi. Wengi utawasikia wakisema wanatamani warudi katika maisha hayo kwa sababu ni maisha yenye raha tele. Hakuna kuwaza kuhusu hili wala lile,… Read more »

Muda ni kitu muhimu katika maisha ya binadamu yeyote yule. Kizuri zaidi ni kuwa huu muda tumeubeba sisi wenyewe na tuna uhuru wa kuendesha tunavyotaka; ima tuutumie kuotesha matunda au… Read more »
Ukarimu ni huluka, inayoleta furaha Fuadi hunawirika, zikayeyuka karaha Na lengine kadhalika,huyapoza majeraha Ndugu tuwe wakarimu, popote tukitokea Kwa watu tutabasamu,na mema kuwatendea Maisha ‘takuwa tamu,na furaha kuenea Ukarimu ni… Read more »
Enzi hizo,nilipokuwa bado mdogo. Wakati akili yangu ilipokuwa bado changa, bado haijafunguka na bado haijaweza kuelewa uhalisia wa mambo,nilikuwa nikiduwazwa mno na mbio walizokwenda watu. Nilishindwa kuelewa kinaganaga kwanini watu… Read more »
Ifikie wazazi! Msimu uliosambaa katika kila pembe ya nchi na kuzua mijadala mizito.Aidha ni msimu uliowaacha wengi na bumbuazi huku wengine wakipiga mbizi katika bahari ya luja.Naam,msimu huu au hash… Read more »