SIO KWA KILA NEEMA TUTANGAZE HADHARANI
Naanza hapa kunadi, umati kuwausia Namshukuru wadudi, kunipa njema afia Mada leo ni hasadi, mno tunojitakia Sio kwa kila neema, tutangaze hadharani Mwana umejaaliwa, bila shaka ni neema Kweli umebarikiwa,… Read more »