Nimeketi na kuwaza, majibu nikayakosa Kunyamaza sikuweza, kwa ‘livokithiri visa Hivyo sauti napaza, nijibuni enyi insa Wana ‘kikosa mwangaza, nani wa kulaumiwa? Wana ‘kiwa watukutu, wakafanya yaso ndia Nyoyo zikajaa… Read more »
MALENGA: KHALID SHARIFF Bisimilahi ya mannani, kwa jina lako Karima, Mola uso na kifani, natanguliza heshima, Kisha kwa tumwa amini, na ahli zake kirama, Maisha yangu jamani, bila Baba yaniuma…. Read more »
Nawaza na kuwazua, hadi kichwa kuniuma Nashindwa na kutambua, mababa waso huruma Naomba jibu murua, munijibu enyi umma Baba kuwaacha wana, ni nini kama si dhulma? Baba kuwaacha wana, ni… Read more »
Mwana 1 Ndugu yangu vipi hali,natumai u mzima Namshukuru jalali, kwani mi nipo salama Ila nina langu swali,linanikera mtima Kati ya baba na mama,yupi mwenye kubwa hadhi? Mwana 2 Mimi ndugu sina… Read more »
Kwa mwia mrefu sana, nilikuwa nimekimwa ukomo wa kukimwa na maisha duni na ya idhilali tuliyokuwa tukiishi. Maisha yaliyokuwa hayana mbele wala nyuma, hayatamu hayanyamu. Maisha ya kudharauliwa, kunyoshewa vidole… Read more »