KABILA KIKWAZO CHA NDOA?
Kutunga hapa naanza, hisia zangu kutema Nimeketi na kuwaza, nikakereka mtima Ni Jambo lanishangaza, wanalolitenda umma Mbona tufanye kabila, liwe kikwazo cha ndoa? Aliyeanzisha nani, fikira hini potofu Eti… Read more »

Mwana 1 Ndugu yangu vipi hali,natumai u mzima Namshukuru jalali, kwani mi nipo salama Ila nina langu swali,linanikera mtima Kati ya baba na mama,yupi mwenye kubwa hadhi? Mwana 2 Mimi ndugu sina… Read more »
Utungo wangu naanza, mie mwana wa kipwani Naandika na kuwaza, mazuri yalio ndani Mola nipe muangaza, hadi pale kikomoni Jamani kutoka pwani, ni raha iso kifani Nimezijaza salamu, kwenye bakuli… Read more »
Kwa huzuni naandika, jamani shairi hili Iwe tutafarajika, na kuipata sahali Kwa jambo lililotuka, tumekuwa mbaya Hali Ila mola ‘meandika, kuepuka ni muhali Baada ya kupokea, zilo nzito habari Huzuni… Read more »
ELIMU HASI AU CHANYA? Kaka Hatari mno nasema, Mwana kufika chuoni Ati aenda kusoma, Masomo ya uzunguni Mwana hafai kusoma, Atakua majununi Awe nyumbani na mama, Ajifunze tamaduni Dada Akhi… Read more »