Category: Ushairi

MAMA

NAANZA  YANGU KAULI SHUKURANI  KWA  JALALI KWA  KUNIPA  USAHALI SHAIRI  KUJITUNGIA NITAMALIZA VITABU KWA KUMSIFU MUHIBU NA HATA NIKAJARIBU SIFA SITOMALIZIA KWA MAPENZI MOTO MOTO ULINILEA MTOTO MAJANGA NAYO MAZITO… Read more »

MKEO KUKUPIKIA SI WAJIBU NI HISANI

Nina zito la moyoni, laniumiza akili Nalitema hadharani, basi tulieni tuli Liwangie akilini, hasa nyie marijali Mkeo kukupikia, si wajibu ni hisani Kwa kweli nasikitika, kuona yanayojiri Mke apewa talaka,… Read more »