Category: Ushairi

WALIMU NDIYO PEINTI

Natoa zangu salamu,walimu nisikizeni Nashika yangu kalamu,nilivyofunzwa zamani Alinifunza mwalimu,kuishika Kwa makini Hivyo natunga nudhumu,Kwa furaha ya moyoni Kama maisha baiti,walimu ndiyo peinti Chekechea tukianza,hatujui kuandika Mwalimu anatufunza,jinsi kalamu kushika… Read more »

UTAMADUNI PWANI

‘lirudi toka ulaya,nilikokuwa kazini ‘litanda furaha ghaya, kufika tena nyumbani ‘lipokewa kwa kayaya, ‘lipotua uwanjani Utamaduni wa pwani,huamsha waleleo Rafiki na familia, ‘lifurika furifuri Tayari kunipokea, kwa nyimbo na mashairi… Read more »

MAISHA CHUO KIKUU

Kuna jambo laniwasha,na kunikera mtima Ninataka kuwapasha,na munifahamu vyema Sio jambo la kuzusha,Ni la hakika nasema Chuo kikuu pasiwe,pa kujifunza muozo Wazazi ‘mejitahidi,kukulea kwa nidhamu Nawe ukawaahidi,kuwa utajiheshimu Ukaongeza zaidi,hutopoteza… Read more »