Ni kitamu Kiswahili, ndugu fahamuni Utamu kama asali, umejaa ndani Wengi wanakikubali, anopinga nani? Kiswahili kitukuzwe! Tukipende Kiswahili, na tukithamini Tuwapo kila mahali, tukizungumzeni Dharau tuweke mbali, kwenye lugha hini… Read more »
Maisha ya utotoni ni maisha matamu sana kwa wengi. Wengi utawasikia wakisema wanatamani warudi katika maisha hayo kwa sababu ni maisha yenye raha tele. Hakuna kuwaza kuhusu hili wala lile,… Read more »
Nilihangaika na kukuna sana kichwa wakati nilipokuwa nikitafuta simu yenye quality nzuri ya videos na picha kwa min ajili ya YouTube channel yangu. Naam! Nilifahamu kuwa zipo simu nzuri sana… Read more »
Muda ni kitu muhimu katika maisha ya binadamu yeyote yule. Kizuri zaidi ni kuwa huu muda tumeubeba sisi wenyewe na tuna uhuru wa kuendesha tunavyotaka; ima tuutumie kuotesha matunda au… Read more »
Ukarimu ni huluka, inayoleta furaha Fuadi hunawirika, zikayeyuka karaha Na lengine kadhalika,huyapoza majeraha Ndugu tuwe wakarimu, popote tukitokea Kwa watu tutabasamu,na mema kuwatendea Maisha ‘takuwa tamu,na furaha kuenea Ukarimu ni… Read more »