Category: Hadithi

MWANANGU SIKUJUA

MWANANGU SIKUJUA Machozi yaliokuwa yakitiririka kutoka kwenye macho ya mwanangu Sikujua yaliuvunja moyo wangu vipande vipande. Niliutazama uso wake uliodhihirisha upole, unyenyekevu na kutokuwa na hatia na moyo wangu ulizidi… Read more »

PAKA WALA WATU

Tarehe 13 Agosti 2010 ilikuwa siku ya furaha ghaya kwangu.Ni siku niliyoisubiri kwa raghba ya mkanja kwa siku ayami.Naam! Katu hawakwenda mrama walolonga,mambo ni kangaja huenda yakaja na bila shaka… Read more »