Tag: yatima

YATIMA

Naanza yangu nudhuma Kwa adabu na heshima Kumueleza yatima Hana wa kumtizama Sio kosa la yatima Majanga kumuandama Ni mipango ya karima Waja wake kutupima Hufurahika yatima Akionewa huruma Hupata… Read more »