
JINSI YA KUTENGEZA MILKSHAKE YA BISKUTI
MAHITAJI ▪Maziwa 500ml(nusu Lita) ▪ biscuits pakiti 3 za nuvita(unaweza ukatumia biscuits aina nyingine yeyote) ▪ Sukari kiasi chako ▪iliki iliosagwa kijiko 1 kidogo ▪ vanilla/ice cream flavour (sio lazima)… Read more »