Tag: #ushairi#harusi

PONGEZI MAARUSI

Siku imefika, tunafurahia Tumejumuika, tunasherekea Raha kwa hakika, imetuenea Maarusi wetu, tunawapongeza Leo ‘meungana, kwa njia halali Muzidi pendana, mapenzi ya kweli Hadi kwenye janna, muweni wawili Maarusi wetu, tunawapongeza… Read more »