Tag: UKIMWI

UKIMWI NI JAMBO ZITO

Limetutawala zimwi,tena lenye sumu kali Munalifahamu zimwi?,linalodhoofisha hali Si lingine ni ukimwi, ugonjwa usiojali Ukimwi ni jambo zito,ni zito kushinda nanga Machozi yatiririka,tena njia mbili mbili Matumbo yanikatika,kwa ilivyokuwa hali… Read more »