SIKU YA EID
Naanza nudhuma, ndugu sikieni Na mola karima, nampa shukrani Eidi yetu njema, katupa mannani Leo ni furaha, eidi kufikia Ni siku adhwimu, tumepewa sisi Ndugu mufahamu, si siku ya nuksi… Read more »
Naanza nudhuma, ndugu sikieni Na mola karima, nampa shukrani Eidi yetu njema, katupa mannani Leo ni furaha, eidi kufikia Ni siku adhwimu, tumepewa sisi Ndugu mufahamu, si siku ya nuksi… Read more »
Nipe nguvu ya jalali,nitunge na na kumaliza Nijaalie sahali, nitunge bila kusaza Faida zilio aali,waja wote kuwajuza Ramadhan yaenda zake! Furaha ilitujaa,kupokea mwezi mwema Tulijua ni wasaa,wa kuipata salama… Read more »
Bisimilahi raufu Mola ulo mtukufu Waja wako madhaifu kwako tunakimbilia Muumba mbingu na ardhi Twakuomba yako radhi Tumeacha ya faradhi Haramuni twajitia Ya rabbi twarudi kwako Hatujui tuendako Na… Read more »
Ulimwengu umesheheni watu wenye hulka tofauti tofauti.wapo wacheshi,wachangamfu,wapole,wanyamavu na wengineo wengi ila miongoni mwa wacheshi ulimwenguni naweza sema Nuayman ibn amr Katia fora. Nuayman alikuwa swahaba aliyetokana na watu wa… Read more »