Ninaandika nudhumu, nyie kuwaleteeni Naanza kutakalamu, masikio tegeeni Ninaanza kwa salamu, nawaomba pokeeni Msamaha ni muhimu, ndugu zangu fahamuni Tusameheane! Binafsi nawaombeni, munisamehe ndu yenu Kama ‘meziumizeni, za ndani hisia… Read more »
Amesema mtume rehma na amani zimshukie, “dunia ni starehe na bora ya starehe zake ni mke mwema.” Hapa mwanzo naanzia, kutunga yangu nudhuma Natoa wangu wasia, uwafikieni umma Hakika ametwambia,… Read more »
Mie nimerudi tena, tungo kuwaleteeni Ni tungo ilo bayana, kwa makini sikizeni Ila naumia sana, na kunitanda huzuni Hili janga la korona, ‘metutia maswalini Ewe Mola Subuhana, twakuomba tuauni Limepenya… Read more »
Kithwa sana nimekuna, mpaka hunihairi Mawazo ‘mesongamana, mawazo yalo kathiri Nijibuni waungwana, uniishe utiriri Msichana wangu mwana, nimpeleke chuoni? Visa vilo vingi sana, hakika ‘mevisikia ‘Mepotea wasichana, chuoni waliongia Moyo… Read more »
Ndugu nawasimulia, kwa mengi mno machungu Mimi yalonifikia, ninajuta wenzi wangu Nasema huku nalia, dunia naona chungu Yameniharibikia, jamani maisha yangu Nilifaulu vizuri, huko shule ya upili Mama kaona fahari,… Read more »