RAMADHAN YAENDA ZAKE
Nipe nguvu ya jalali,nitunge na na kumaliza Nijaalie sahali, nitunge bila kusaza Faida zilio aali,waja wote kuwajuza Ramadhan yaenda zake! Furaha ilitujaa,kupokea mwezi mwema Tulijua ni wasaa,wa kuipata salama… Read more »