UTENZI WA RAMADHAN
Leo hii ni ya kwanda Tuwe wenye kujipinda Tufanye ano yapenda Na kumridhi jalia Tumuombeni jalali Mchana pia laili Na kila tunaposwali Atujaalie afia Tufunge bila usiri Tena kwa nyingi… Read more »

Nawasalimu wendani, watoto watu wazima Khabari ninawapeni, khabari zilizo njema Atawasili mgeni, mgeni mwenye neema Karibu mwezi karibu, mtukufu ramadhani Ni mwezi wenye baraka, katuletea qahari Na tena wa kusifika,… Read more »