UTENZI WA RAMADHAN
Leo hii ni ya kwanda Tuwe wenye kujipinda Tufanye ano yapenda Na kumridhi jalia Tumuombeni jalali Mchana pia laili Na kila tunaposwali Atujaalie afia Tufunge bila usiri Tena kwa nyingi… Read more »

Nipe nguvu ya jalali,nitunge na na kumaliza Nijaalie sahali, nitunge bila kusaza Faida zilio aali,waja wote kuwajuza Ramadhan yaenda zake! Furaha ilitujaa,kupokea mwezi mwema Tulijua ni wasaa,wa kuipata salama… Read more »