
JINSI YA KUTENGEZA JUISI YA MACHUNGWA
MAHITAJI Machungwa 5 Sukari kikombe 1 Maji kiasi MATAYARISHO Osha machungwa uyachambue maganda kisha yaoshe tena baada ya kuchambua maganda Yakate vipande vidogo vidogo Yavuruge kwenye maji kidogo kisha uchuje… Read more »