
SWAHABA MCHESHI_NUAYMAN IBN AMR
Ulimwengu umesheheni watu wenye hulka tofauti tofauti.wapo wacheshi,wachangamfu,wapole,wanyamavu na wengineo wengi ila miongoni mwa wacheshi ulimwenguni naweza sema Nuayman ibn amr Katia fora. Nuayman alikuwa swahaba aliyetokana na watu wa… Read more »