
MWENDA TEZI NA OMO
Jipinde utavopinda, upatoroke nyumbani Ujione umeshinda, na ni bingwa duniani Mwishowe ‘tauma chanda, ungiapo majutoni tezi na omo mwenenda, marejeo ni ngamani Maisha yakikushinda, yakakupiga na chini Mwili wote ukakonda,… Read more »