MKE MWEMA
Amesema mtume rehma na amani zimshukie, “dunia ni starehe na bora ya starehe zake ni mke mwema.” Hapa mwanzo naanzia, kutunga yangu nudhuma Natoa wangu wasia, uwafikieni umma Hakika ametwambia,… Read more »

Heri alishindwa kabisa kuyatoa mawazo yake kwa binti yule. Binti mpole, mstaarabu na mkarimu. Binti ambaye kwamba pengine neno kununa halikupatikani katika kamusi yake ya maisha. Kila wakati alionekana akitabasamu… Read more »
RUIYA Mume wangu sikiliza, nisemayo usikie Nakupa yenye mwangaza, yatakuja yakufae Wewe ni mwenye uweza, naomba ufikirie Rafiki yangu Aziza, ningependa umuoe Sana ninapendekeza, hili ulizingatie Ukae ukiliwaza, moyoni likuingie… Read more »
Sikatai ni ruhusa, kuoa mke wa pili Basi sifanye mikasa, ukatenda udhalili Mkeo kumnyanyasa, uadilifu muhali ‘kioa mke wa pili, tenda na uadilifu ‘Sijitie hamnazo, kuoa mke wa pili Senti… Read more »
Nina swali ikhiwani,ninaomba munijibu Limekaa akilini,nijibuni maswahibu Naomba yenu maoni,tena kwa utaratibu Je ni haki kuongeza,mke wa pili kwa siri? Mke wako laazizi,barafu ya moyo wako Kakupa mola mwenyezi,… Read more »