
MIZIZI YA MAFANIKIO
Enzi hizo,nilipokuwa bado mdogo. Wakati akili yangu ilipokuwa bado changa, bado haijafunguka na bado haijaweza kuelewa uhalisia wa mambo,nilikuwa nikiduwazwa mno na mbio walizokwenda watu. Nilishindwa kuelewa kinaganaga kwanini watu… Read more »