Keki ya chocolate ni keki inayopendwa sana. Wengine wananunua au kuweka oda jambo ambalo kwamba ni la gharama kuliko kuoka mwenyewe nyumbani. Wengine wanawazawadi wendani wao keki walizonunua, jambo ambalo… Read more »
Pilau ni chakula maarufu sana katika sehemu nyingi ulimwenguni. Aidha ni chakula kinachopendwa na kuenziwa na wengi, si wakubwa si wadogo. Bila shaka pilau inapendwa kutokana na sifa zake sufufu…. Read more »
Tambi, maarufu kama spaghetti kinaaminika kuwa chakula chenye asili ya kiitaliano. Hapa nchini kenya,kwa uchunguzi wangu wa haraka haraka nimegundua kuwa tambi ni chakula kinachopendwa sana na wasomali. Naam, Mapishi… Read more »
Mchicha ni mboga tamu sana lau itapikwa kwa njia muafaka. Ni mboga ambayo kwamba inaendana na vyakula aina tofauti tofauti hususan wali au ugali. Inapendeza zaidi ikiwa pembeni kutakuwa na… Read more »
Kwa muda mrefu sana mama yangu amekuwa akinirai nipike mkate huu wa nyama. “Farwa chukua video ya mkate wa nyama ueke YouTube, watu wataipenda.” Huu ulikuwa wimbo wa mama yangu… Read more »