MAHITAJI YA SAMAKI Samaki mmoja mkubwa aliyesafishwa vizuri na kupigwa mitai(kukatwa mistari ili viungo viingie vizuri) kituKitu thomu kijiko 2 cha mezani Pilipili manga iliyosagwa kijiko 1 cha mezani Fish… Read more »
MAHITAJI Mihogo 4 mikubwa iliyochambuliwa maganda, kuoshwa na kukatwa vipande vya kiasi Kitunguu maji 1 kikubwa kilichokatwa katwa Pilipili boga(hoho) 1 lililokatwa katwa Tomato 4 kubwa zilizokatwa katwa Matusha/tui jepesi… Read more »
MAHITAJI Unga wa ngano vikombe 4/500g Sukari kikombe 1/4 Tui la nazi zito kikombe 1& 1/2 Mafuta uto/ya kupikia vijiko vya mezani 2 Hamira kijiko cha mezani 1 Iliki kijiko… Read more »
MAHITAJI Unga wa ngano vikombe 5 Samli ilioekwa motoni Kwa sekunde kadhaa vijiko vya mezani 3_4 Chumvi kiasi chako Maji yasiokuwa moto wala baridi(at room temperature) glass 2 ndogo. … Read more »
MAHITAJI Unga wa dengu kikombe 1 Mayai 5 yaliochemshwa na kukatwa slices tatu tatu Pilipili boga/hoho 1 lililokatwa katwa vipande vidogo vidogo Kitunguu maji 1 cha kiasi kilichokatwa vipande vidogo… Read more »