Miongoni mwa vyakula vinavyonidondosha mate na kunifanya nile mpaka nivimbiwe ni viazi vya nazi. Ninapoulizwa nyumbani ni chakula gani tupike basi viazi vya nazi havikosekani kwenye orodha. Naam! Viazi vya… Read more »
Mmh samaki! Samaki ni kitoweo kinachodondosha wengi mate. Wapo wengi wasiokula nyama au kuku ima Kwa kutopenda kwao au kwa maradhi flani ila tukija kwenye samaki, binafsi sijasikia kama kuna… Read more »
MAHITAJI Njugu robo kilo(1/4 kg) zilizosagwa vizuri Sukari kikombe 1 &1/4 Maji kikombe 1 Iliki kiasi Vanilla kiasi(sio lazima) MATAYARISHO Weka maji na sukari kwenye sufuria ubandike motoni na uache… Read more »
MAHITAJI Kima(nyama iliosagwa) nusu iliyochemshwa pamoja na thomu(kijiko 1 cha mezani) na chumvi kiasi na kuachwa ikauke maji kabisa Vitunguu maji 4 vikubwa vilivyokatwa katwa vidogo vidogo(in cubes) Pilipili boga… Read more »
MAHITAJI YA ROJO Nyama nusu kilo(1/2 kg) Kitunguu thomu kilichosagwa pamoja na tangawizi kijiko cha mezani 1 Pilipili manga iliosagwa kijiko cha mezani 1 Bizari nyembamba/jira iliosagwa kijiko cha mezani… Read more »