
JINSI YA KUPIKA MAHAMRI YA NAZI YA USWAHILINI
Licha ya mahamri kuwa chakula rahisi kupika pia ni chakula kinachohitaji mahitaji ya kawaida sana yanayopatikana Katika duka au soko lolote lile. Aidha ni chakula maarufu na kinachopendwa na wengi… Read more »