DAMU IMEGEUKA MAJI
Ninaanza kulitunga, shairi langu jamani Ni mambo yamenisonga, na kunikaba kooni Hakika mutaniunga, ‘kiyasoma kwa makini Bila shaka ni kinaya, damu kugeuka maji Imegeuka dunia, imani zimetoweka Ndugu walo halisia,… Read more »