HARUSI ZA GHARAMA
Ndoa ni Jambo la kheri, Sunna ya wetu hashima Na tena ni jambo zuri, twapaswa kuliegema Tutaipata sururi, kuepuka uhasama Lakini zisitughuri, harusi zenye gharama Swali ninalikariri, nijibuni enyi umma… Read more »

‘Likuja mume tajiri, tena mweupe pepepe Mama kaona fahari, akanioza peupe Hakuchunguzwa vizuri, kumbe mume ni mapepe Mengine yote bonasi, mume dini na tabia Hata awe na majumba, na pesa… Read more »