NINAWAVALISHA TAJI
Ninawavalisha taji, taji lilo la dhahabu Waandishi wetu mbuji, waloandika vitabu Walivyo navyo vipaji, hakika ni vya ajabu Ninawavalisha taji, taji lilo la dhahabu Nawavulia kofia, waandishi wetu aali Vyema… Read more »

Saidi,shababu mdogo ila mwenye ujuzi na kipawa kuliko umri wake. Kipawa chake kilizidi maradufu kutokana na juhudi zake alizotia. Alidamka alfajiri mno na kukitaliki kitanda chake wakati wengi wakiwa katika… Read more »
Kwa mwia mrefu sana, nilikuwa nimekimwa ukomo wa kukimwa na maisha duni na ya idhilali tuliyokuwa tukiishi. Maisha yaliyokuwa hayana mbele wala nyuma, hayatamu hayanyamu. Maisha ya kudharauliwa, kunyoshewa vidole… Read more »
Tarehe 13 Agosti 2010 ilikuwa siku ya furaha ghaya kwangu.Ni siku niliyoisubiri kwa raghba ya mkanja kwa siku ayami.Naam! Katu hawakwenda mrama walolonga,mambo ni kangaja huenda yakaja na bila shaka… Read more »