Tag: #dini

QURAN

Nashika yangu kalamu Kutunga yangu nudhumu kusema yalo muhimu Ndugu zangu nisikia Ni kuhusu almasi Isiyo na wasiwasi Tulioletewa sisi Na mtume hashimia Ni kitabu qurani Kitabu chenye thamani Kisicho… Read more »