
BINTI NIMPELEKE CHUO KIKUU?
Kithwa sana nimekuna, mpaka hunihairi Mawazo ‘mesongamana, mawazo yalo kathiri Nijibuni waungwana, uniishe utiriri Msichana wangu mwana, nimpeleke chuoni? Visa vilo vingi sana, hakika ‘mevisikia ‘Mepotea wasichana, chuoni waliongia Moyo… Read more »