Ninaandika nudhumu, nyie kuwaleteeni Naanza kutakalamu, masikio tegeeni Ninaanza kwa salamu, nawaomba pokeeni Msamaha ni muhimu, ndugu zangu fahamuni Tusameheane! Binafsi nawaombeni, munisamehe ndu yenu Kama ‘meziumizeni, za ndani hisia… Read more »
Mzinga wa nyuki ni mkate wenye asili ya kiarabu. Mkate huu umepewa jina la mzinga wa nyuki kutokana na mfanano wake baada ya kupikwa. Ni mkate unaopikwa mfano wa skonzi… Read more »
Amesema mtume rehma na amani zimshukie, “dunia ni starehe na bora ya starehe zake ni mke mwema.” Hapa mwanzo naanzia, kutunga yangu nudhuma Natoa wangu wasia, uwafikieni umma Hakika ametwambia,… Read more »
Mie nimerudi tena, tungo kuwaleteeni Ni tungo ilo bayana, kwa makini sikizeni Ila naumia sana, na kunitanda huzuni Hili janga la korona, ‘metutia maswalini Ewe Mola Subuhana, twakuomba tuauni Limepenya… Read more »
Keki ya chocolate ni keki inayopendwa sana. Wengine wananunua au kuweka oda jambo ambalo kwamba ni la gharama kuliko kuoka mwenyewe nyumbani. Wengine wanawazawadi wendani wao keki walizonunua, jambo ambalo… Read more »