NINAWAVALISHA TAJI
Ninawavalisha taji, taji lilo la dhahabu Waandishi wetu mbuji, waloandika vitabu Walivyo navyo vipaji, hakika ni vya ajabu Ninawavalisha taji, taji lilo la dhahabu Nawavulia kofia, waandishi wetu aali Vyema… Read more »

Utaishi na rafiki, umfanye kama ndugu Uzidishe itifaki, muishi pasi vurugu Kumbe ndani ana chuki, ana na mengi mathungu Ungamuona ni mbuzi, kumbe ndani mbwa mwitu Utampenda kikweli, na pia… Read more »
Nimeketi na kuwaza, majibu nikayakosa Kunyamaza sikuweza, kwa ‘livokithiri visa Hivyo sauti napaza, nijibuni enyi insa Wana ‘kikosa mwangaza, nani wa kulaumiwa? Wana ‘kiwa watukutu, wakafanya yaso ndia Nyoyo zikajaa… Read more »
RUIYA Mume wangu sikiliza, nisemayo usikie Nakupa yenye mwangaza, yatakuja yakufae Wewe ni mwenye uweza, naomba ufikirie Rafiki yangu Aziza, ningependa umuoe Sana ninapendekeza, hili ulizingatie Ukae ukiliwaza, moyoni likuingie… Read more »
Naanza yangu nudhuma, hali nikitabasamu Natumai mu wazima, ndugu ninawasalimu Basi simameni wima, kusikiza ya muhimu Awe mwendani daima, anoitwa tabasamu Usimbanduke katu, awe usoni dawamu Hata wakupige watu, na… Read more »