Category: Ushairi

AFADHALI KUMENYESHA

Mno nilifurahia, kuliona paa langu Sana nilijivunia, haivuji nyumba yangu Paa lilotulia, kalijenga fundi wangu Sikujua kukinyesha, nitaona pavujapao Jua lilijiwakia, paa tatizo halina Mno lilinivutia, nikafurahia sana Kila ‘kiliangalia,… Read more »

TUMFIKIRIE MAMA

Ameamka mapema, ‘mekatiza usingizi Tayari nazi kukama, na kuzibandika mbazi Hata kama ana homa, yabidi kufanya kazi Ni juhudi zake mama, ili mwana ubarizi Kabla kujiharibia, tumfikirie mama! Moto unajiwakia,… Read more »