HARUSI ZA MASHINDANO
Mwanangu ‘mepata heri, nikaha haiko mbali Harusi ya kifahari, na tena ilio ghali Nitamfanyia mwari, watu wakomeke kweli Nataka fanya harusi, iishinde ya fulani Kukopa nipo tayari, malaki mamilioni Harusi… Read more »

Maneno ya tangu jadi, waliyanena waneni Kwetu sisi ni zawadi, tuyatie akilini Japo nyumba ya kukodi, ipambe nje na ndani Hakika umaridadi, huficha umasikini Tena ifukize udi, ingawa wa ishirini… Read more »
Hujipinda muungwana, uvivu hueka kando Vilivyo akapambana, akatenda kwa upendo Wala haongei sana, na kuvifanya vishindo Ada ya mja hunena, muungwana ni vitendo ashikiwakiswahili ❤️ Ni maneno ya hekima, maneno… Read more »
Nawauliza wenzangu, la kimjadala swali Hakika ya swali langu, laniumiza akili Nijibuni wangu wangu, tupate jibu kamili Ni yapi maji sahihi, ya kukandia chapati ? Eti ni maji makali, yalopuliwa… Read more »
Ya ilahi ya wadudi, Mola wetu subuhana Tujaalie suudi, na siku yetu kufana Litimu letu kusudi, na kufurahia sana Kuleta hini zawadi, kwa huyu wetu kijana Leo nipo furahani, wewe… Read more »