VIWAKILISHI Viwakilishi ni maneno yanayotumika badala ya nomino(vibadala vya nomino). Nomino husika huwa haitajwi katika sentensi. Kwa mfano, yule ni mtunzi mbuji wa mashairi. AINA ZA VIWAKILISHI 1.VIWAKILISHI NAFSI: Hivi ni… Read more »
VITENZI Vitenzi ni maneno yanayoarifu kuhusu jambo linalotendwa au kutendewa nomino. Vitenzi huwa na mzizi ambao kwamba ndio unaosimamia tendo lenyewe na mzizi huo huambatanishwa na viambishi ili kuleta maana… Read more »
VIHUSISHI Vihusishi ni maneno ambayo kwa kawaida hutumiwa pamoja na nomino au kiwakilishi. Kazi ya vihusishi katika lugha ya kiswahili hufanywa na vikundi husishi. Vihusishi vinavyotumiwa zaidi ni kwa na na. KWA… Read more »
VIHISISHI Haya ni maneno ya mshangao au ya kutoa hisia za ndani za mhusika. Vihishi huishia kwa alama (!) AINA ZA VIHISISHI Vya huzuni: kwa mfano, salale! Vya furaha/pongezi: kwa mfano, hongera!, Hoyee! Vya… Read more »
VIUNGANISHI Viunganishi ni maneno yanayotumiwa kuunganisha vipashio mbali mbali vya lugha. Kwa kawaida, huunganisha vipashio vifuatavyo: Neno na neno Kirai na kirai Kishazi na kishazi Sentensi na sentensi AINA ZA… Read more »