MKE WA HERI
Heri alishindwa kabisa kuyatoa mawazo yake kwa binti yule. Binti mpole, mstaarabu na mkarimu. Binti ambaye kwamba pengine neno kununa halikupatikani katika kamusi yake ya maisha. Kila wakati alionekana akitabasamu… Read more »

Saidi,shababu mdogo ila mwenye ujuzi na kipawa kuliko umri wake. Kipawa chake kilizidi maradufu kutokana na juhudi zake alizotia. Alidamka alfajiri mno na kukitaliki kitanda chake wakati wengi wakiwa katika… Read more »
Kwa mwia mrefu sana, nilikuwa nimekimwa ukomo wa kukimwa na maisha duni na ya idhilali tuliyokuwa tukiishi. Maisha yaliyokuwa hayana mbele wala nyuma, hayatamu hayanyamu. Maisha ya kudharauliwa, kunyoshewa vidole… Read more »
Tarehe 13 Agosti 2010 ilikuwa siku ya furaha ghaya kwangu.Ni siku niliyoisubiri kwa raghba ya mkanja kwa siku ayami.Naam! Katu hawakwenda mrama walolonga,mambo ni kangaja huenda yakaja na bila shaka… Read more »
Alitoka chumba hiki akaingia chumba kingine.Alizipanda ngazi akizishuka Kama asiyekuwa na akili nzuri.Alipiga usiahi wa ndani kwa ndani kwa uchungu mkali aliokuwa akiuhisi.Milio ya risasi nje haikumtia kimbimbi kwani alikuwa… Read more »