UTENZI WA RAMADHAN
Leo hii ni ya kwanda Tuwe wenye kujipinda Tufanye ano yapenda Na kumridhi jalia Tumuombeni jalali Mchana pia laili Na kila tunaposwali Atujaalie afia Tufunge bila usiri Tena kwa nyingi… Read more »
Leo hii ni ya kwanda Tuwe wenye kujipinda Tufanye ano yapenda Na kumridhi jalia Tumuombeni jalali Mchana pia laili Na kila tunaposwali Atujaalie afia Tufunge bila usiri Tena kwa nyingi… Read more »
Kalamu niishishie, natunga toka moyoni Dua zetu tukidhie, twakuomba ya manani Motoni usitutie, adhabu hatuwezani Ewe mola tujalie, pepo iwe masikani Tujaalie ni wema, tutende mambo ya kheri Tutende bila… Read more »
Mno huvifurahia Viswa nikivisikia Vya waliotangulia Ndani ‘kiwemo bilali Ni viswa vya maswahaba vingi na wala si haba Na vimo kwenye vitaba Pia katajwa bilali Basi leo ikhiwani Kiswa nawaelezeni… Read more »
Naanda kumswalia, kipendi chetu sharifu Mtume wetu nabia, kwa furaha namsifu Mahaba yameningia, shahidi yangu raufu Mtukufu wa daraja, mola amemteua Mbora wa wote waja, sote tunamtambua Sifa zake nazitaja,… Read more »
Sura umeikunja! Meno umeyakaza! Unabamiza milango na kurusha rusha vitu huku na kule! Mori umekupanda tayari kummeza mzima mzima yeyote atakayepita mbele yako. Kisa na sababu? Mama yako amekuita. Pengine… Read more »