VIHUSISHI
Vihusishi ni maneno ambayo kwa kawaida hutumiwa pamoja na nomino au kiwakilishi. Kazi ya vihusishi katika lugha ya kiswahili hufanywa na vikundi husishi. Vihusishi vinavyotumiwa zaidi ni kwa na na.
KWA
Asili ya kwa ni a-unganifu. Hutumika kwa namna mbali mbali. Kwa mfano:
- Mahali
- Jinsi/namna
- Kilichotumiwa/kifaa
- Sababu
Mifano katika sentensi:
- Pale ni kwa shangazi yake.
- Tutasafiri kwa basi.
- Amejawa na furaha mzo mzo.
MAREJELEO
- Kimani Njogu na Dorothy K. Nganje, kiswahili kwa vyuo vya ualimu: Jomo Kenyatta Foundation 2006
Maelezo mazuri kweli
Asante